Jenerali Qa’ani: Marekani, Israel ‘ni dhaifu kivitendo’ mbele ya Iran na Muqawama

Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kislamu nchini Iran amesema kuwa licha ya bwabwaja zao, Marekani na Israel “hazina nguvu kivitendo” dhidi ya Iran na makundi ya Muqawama.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *