Je, wasiwasi kuhusu Trump, ni fursa kwa China?

Mwaka 2018, wakati Trump alipozindua awamu ya kwanza kati ya nyingi za ushuru kwa bidhaa za China, Beijing ilitangaza “haiogopi vita vya Biashara.” Je, mara hii?