Je, wajua kwanini Tembo wanachukia nyuki?

Wanawake huathirika kwa kiasi kikubwa zaidi na migogoro kati ya binadamu na tembo, anaeleza King. Mara nyingi wao hufanya kazi mashambani na hulazimika kuwafukuza tembo, jambo linalowaweka katika hatari ya kujeruhiwa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *