Je, vita vya Ukraine na Urusi vinaelekea kumalizika?

Ni matokeo ya umwagaji damu katika vita ambavyo Urusi ilivianzisha. Maelfu wameuawa hadi sasa, “umwagaji damu usio na kikomo” kama Rais wa Marekani, Donald Trump alivyosema.

​  BBC News Swahili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *