Je, virutubisho hivi ndio siri ya ngozi nyororo?

Uzalishaji wa collagen mwilini, kawaida hupungua kasi ya kuzeeka – iwe unailinda ngozi yako dhidi ya jua au la. Collagen imekuwa biashara kubwa.