Je, Uganda ndio yenye mashabiki kindakindaki wa Arsenal duniani?

Vilabu vya England, vina mashabiki kote Uganda. Hadi kupitia makundi ya WhatsApp ili kuendeleza mijadala zaidi. Lakini mashabiki wa Arsenal wanaonekana kuupeleka ushabiki wao katika kiwango kingine

​  BBC News Swahili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *