Je, Raila kushinda uchaguzi wa Umoja wa Afrika leo?

Raila Odinga wa Kenya, Mahmoud Ali Youssouf wa Djibouti watamenyana na Richard Randmadrato wa Madagascar kuwania Uwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika.