Je, Marekani itaiondoa Cuba kwenye Orodha ya Nchi Zinazounga Mkono Ugaidi?

Ikulu ya Marekani imetangaza kuwa rais wa nchi anayeondoka mamlakani Joe Biden, ataiondoa Cuba kwenye orodha ya nchi zinazounga mkono ugaidi.