Je, Afrika Kusini itasalimu amri mbele ya ubabe wa Trump?

Kwa kuendelea msimamo wa kuingilia kati wa Rais Donald Trump wa Marekani katika masuala ya ndani ya Afrika Kusini, serikali ya Pretoria imetangaza kuwa haitajiingiza katika diplomasia isiyo na tija ya “kupiga kelele kupitia vipaza sauti” na Marekani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *