Jaji wa Marekani apasisha kufukuzwa mwanaharakati Mahmoud Khalil kwa sababu ya Palestina

Jaji wa mahakama ya Louisiana nchini Marekani amepasisha uamuzi wa kundolewa nchini humo mwanaharakati Mahmoud Khalil, mhitimu wa Chuo Kikuu cha Columbia na mwenye kadi ya kijani ya kumruhusu kuishi Marekani kutokana na kutumia haki yake ya kujieleza na kuunga mkono taifa linalodhulumiwa la Palestina. 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *