“Iwapo maadui wangeliamini Iran inaweza kushindwa, wasingejadiliana”

“Iwapo maadui wangeliamini Iran inaweza kushindwa, wasingejadiliana”

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi amesisitiza kuwa, jukumu la msingi la wizara hiyo ni kujitahidi kuondosha vikwazo na kuongeza kuwa, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje anayesimamia Diplomasia ya Kiuchumi na balozi za Iran nje ya nchi zinapaswa kuwezesha mchakato huo na kuondolewa vikwazo vyote dhidi ya taifa hili.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *