Ivory Coast yatangaza tarehe ya kuondoka wanajeshi wa Ufaransa nchini humo

Serikali ya Ivory Coast imeainisha tarehe ya kuondoka wanajeshi ‘vamizi’ wa Ufaransa katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi.