#VIDEO: Wanachama na aliyekuwa Kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), jumla yao wanne wamenusurika kifo nyakat…

#VIDEO: Wanachama na aliyekuwa Kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), jumla yao wanne wamenusurika kifo nyakat…

#VIDEO: Wanachama na aliyekuwa Kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), jumla yao wanne wamenusurika kifo nyakati za saa kumi Alfajiri, katika msafara wa Makamu Mwenyekiti Taifa wa Chama hicho, Bw. John Heche, mara baada ya gari la matangazo lenye namba za usajili T 661 DQL, aina ya Ford Ranger, kugonga kingo za barabara ya Morogoro – Iringa maarufu kama eneo la Mataa ya Tumbaku, Manispaa ya Morogoro.

#itvdigital #itvupdates #itvtanzania.

#follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *