#VIDEO: Lori la mafuta lenye namba za usajili RU 8092, kampuni ya Lunyina ya Malawi, limepata ajali katika Kijiji Lubungo, Mkoa …

#VIDEO: Lori la mafuta lenye namba za usajili RU 8092, kampuni ya Lunyina ya Malawi, limepata ajali katika Kijiji Lubungo, Mkoa …

#VIDEO: Lori la mafuta lenye namba za usajili RU 8092, kampuni ya Lunyina ya Malawi, limepata ajali katika Kijiji Lubungo, Mkoa wa Morogoro, Kata ya Mikese, mara baada ya kujaribu kuyakwepa malori mengine yaliyokuwa yana ‘overtake’ bila kuchukua tahadhari. Lori hilo bado lina mafuta na jitihada za kuleta lori lingine kwa ajili ya kufaulisha zinaendelea.

Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi.

#Follow @radioonetanzania

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *