#UAPISHO: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt

#UAPISHO: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt

#UAPISHO: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemuapisha Jaji wa Mahakama ya Rufani, Mhe. George Mcheche Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania.

Mhe. George Mcheche Masaju anachukua nafasi ya Prof. Ibrahim Hamis Juma ambaye amestaafu.

#Follow @radioonetanzania

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *