#U20NBC | Wachambuzi wa soka Rashid Hamis na Adriano James wakichambua hatua ya nane bora ya #NBCYouthU20PremierLeague2025 ambapo kundi A wataanza leo kwenye dimba la Azam Complex.
Ambapo Simba SC watakipiga dhidi ya Dodoma Jiji saa 10:00 jioni, huku Azam FC wao watawakaribisha KenGold FC ya Mbeya majira ya saa 1:00 usiku,
Michezo yote itakuwa MBASHARA #AzamSports1HD.
Imeandaliwa na @jairomtitu3
#U20YouthNBCPremierLeague2025 #U20NBC2025 #LigiKuuYaNBC #NBCPLUpdates #AzamTVSports