“Takwimu rasmi zinaonesha kuwa kati ya mwaka 1991 na 2018, umasikini umepungua, mathalani katika kipindi hicho cha marejeo, asilimia ya watu waliokuwa wakiishi katika umasikini wa hali ya juu (umasikini wa chakula) ilipungua kwa kiasi kikubwa, kutoka asilimia 21.6 hadi asilimia 8, huku kiwango cha umasikini wa mahitaji ya msingi kikishuka kutoka asilimia 38.6 hadi asilimia 26.4,”- Dkt Mwigulu Nchemba, Waziri wa Fedha akisoma Bajeti Kuu ya Serikali 2025-26 bungeni jijini Dodoma.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania