TAIFA STARS: “Tumetaarisha kikosi cha wachezaji 28 ambao tutakwendanao Afrika Kusini” sehemu ya maneno ya Kocha Hemed Suleiman M…

TAIFA STARS: “Tumetaarisha kikosi cha wachezaji 28 ambao tutakwendanao Afrika Kusini” sehemu ya maneno ya Kocha Hemed Suleiman M…

TAIFA STARS: “Tumetaarisha kikosi cha wachezaji 28 ambao tutakwendanao Afrika Kusini” sehemu ya maneno ya Kocha Hemed Suleiman Morocco, akitaja kikosi cha Timu ya Taifa (Taifa Stars).

Kikosi hicho kitacheza mechi ya kirafiki na Afrika Kusini, Juni 6, 2025 na mechi za COSAFA na kitaanza kambi Juni 2, 2025 na safari itaanza Juni 3, 2025.

(Imeandikwa na @allymufti_tz)

#TaifaStars

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *