TAIFA STARS: Kocha wa Taifa Stars, Hemed Suleiman ‘Morocco’ amekiri ya kwamba hapa nchini eneo la magolikipa kuna changamoto kia…

TAIFA STARS: Kocha wa Taifa Stars, Hemed Suleiman ‘Morocco’ amekiri ya kwamba hapa nchini eneo la magolikipa kuna changamoto kia…

TAIFA STARS: Kocha wa Taifa Stars, Hemed Suleiman ‘Morocco’ amekiri ya kwamba hapa nchini eneo la magolikipa kuna changamoto kiasi na ndio maana wapo magolikipa wazuri lakini hawapati nafasi.

Kocha huyo leo ametangaza majina ya wachezaji 28 wanaounda kikosi cha Taifa Stars kitakachocheza mechi ya kirafiki na Afrika Kusini, Juni 6, 2025, mechi za COSAFA na kitaanza kambi Juni 2, 2025 ambapo safari itaanza Juni 3, 2025.

(Imeandikwa na @allymufti_tz)

#TaifaStars

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *