“Serikali imejenga uwezo wa udhibiti wa matendo yasiyofaa katika mitandao ya kijamii, tutumie mitandao ya kijamii kwa manufaa, v…

“Serikali imejenga uwezo wa udhibiti wa matendo yasiyofaa katika mitandao ya kijamii, tutumie mitandao ya kijamii kwa manufaa, v…

“Serikali imejenga uwezo wa udhibiti wa matendo yasiyofaa katika mitandao ya kijamii, tutumie mitandao ya kijamii kwa manufaa, vijana wengi wanapoteza muda mwingi kwenye mitandao kufanya vitu vya hovyo badala ya kufanya vitu ambavyo vingewasaidia, ukitumia mitandao vibaya sheria ipo na mamlaka na vyombo vipo vitakupata, wakati mwingine unaona vikampeni havina mbele wala nyuma”-Msemaji Mkuu wa Serikali Greson Msingwa.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *