-
Serivces
Hello
Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa
Ready to continue your informative journey with us?
Hello
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.
Reclaim your full access. Click below to renew.
Jumapili, Juni 08, 2025
-
Sowah, Mukwala waingizwa vitani Sauzi
KITENDO cha Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini kujiandaa kuachana na straika Ranga Chivaviro, kumeibua vita mpya kwa nyota wanaokiwasha katika Ligi Kuu Bara, Jonathan Sowah wa Singida Black Stars na…
-
Majeraha yamtibulia Kachwele Marekani
STRAIKA wa Whitecaps FC anayecheza kwa mkopo Vancouver Whitecaps inayoshiriki Ligi Kuu Marekani (MLS), Cyprian Kachwele amesema msimu huu ameuanza vibaya baada ya kupata majeraha ya nyama za paja.
-
Pina amaliza msimu kibabe, aziita timu mezani
MSHAMBULIAJI wa timu ya Mlandege, Abdallah Iddi ‘Pina’ amesema malengo aliyojiwekea msimu huu wa 2024-25 ikiwemo timu hiyo kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) na kuwa mfungaji bora wa ligi…