“Nataka nikiri imani yangu kwamba mamlaka yote huwekwa na Mwenyezi Mungu, na nikubaliane na usemi kwamba Mungu akikupa ulemavu hukupa na jinsi ya kuenenda, nyote ni mashahidi wa mazingira yalivyokuwa wakati naipokea nchi, mazingira ya uchumi hayakuwa vyema kwa ulimwengu mzima, kutokana na maradhi yale ya Covid 19” -Mhe.Samia Suluhu Hassan – Rais wa Tanzania.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania