“Na Mh. Spika nikiwa namaliza kipekee kabisa kwa kihistoria kabisa niwapongeze timu ya Singida kwa kuwafunga timu ya Simba, iingie kwenye Ansad (kumbukumbu rasmi) ni goli tatu moja ni ushindi mkubwa sana, mambo yaliyotokea kule Babati,”- DkDkt. Mwigulu Nchemba, Waziri wa Fedha akiwasilisha bajeti ya Wizara ya Fedha bungeni leo Juni 04, 2025.
“Na Mh. Spika nikiwa namaliza kipekee kabisa kwa kihistoria kabisa niwapongeze timu ya Singida kwa kuwafunga timu ya Simba, iing…
