“Msongamano tunaoushuhudia Dodoma sasa hivi ni dhahiri kwamba tukiuacha uendelee utaleta athari katika biashara ndani ya nchi na…

“Msongamano tunaoushuhudia Dodoma sasa hivi ni dhahiri kwamba tukiuacha uendelee utaleta athari katika biashara ndani ya nchi na…

“Msongamano tunaoushuhudia Dodoma sasa hivi ni dhahiri kwamba tukiuacha uendelee utaleta athari katika biashara ndani ya nchi na Ukanda mzima, ili kuondosha kadhia hiyo, tunahitaji kuwa na barabara ambayo itawezesha magari makubwa na madogo yasiyo kuwa na ulazima wa kuingia katikati ya Jiji la Dodoma kuweza kuendelea na safari zao” -Mhe.Samia Suluhu Hassan – Rais wa Tanzania.

#Follow @radioonetanzania

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *