MOHAMED BANKA: “Wamekuja Yanga na Simba na Azam wamekutana na maisha yale mazuri” sehemu ya maneno ya mchezaji wa zamani wa Simb…

MOHAMED BANKA: “Wamekuja Yanga na Simba na Azam wamekutana na maisha yale mazuri” sehemu ya maneno ya mchezaji wa zamani wa Simb…

MOHAMED BANKA: “Wamekuja Yanga na Simba na Azam wamekutana na maisha yale mazuri” sehemu ya maneno ya mchezaji wa zamani wa Simba na Yanga, Mohamed Banka akielezea namna baadhi ya wachezaji wanavyoshindwa kuonesha uwezo wao wanapotua klabu kubwa hapa nchini.

Ni mahojiano maalumu yaliyofanywa na @kalugira_timzoo kupitia kipindi cha #Viwanjani.

(Imeandikwa na @allymufti_tz)

#Viwanjani #MohamedBanka

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *