Michuano ya FIFA Club World Cup , kuanza Juni 15, 2025, kuruka mbashara kupitia AzamTV mwanzo mwisho.
Nyota wa Tanzania Seleman Mwalimu, Aziz Ki wakiwa na uzi wa Wydad Casablanca ni sehemu ya wachezaji watakaokipiga michuano hii.
Mapema lipia kifurushi cha kisimbuzi chako ili usipitwe na michuano hii.
#SisiNiSoka #AzamTVSports