#MICHEZO: “Simba inapokuwa ya Kimataifa mimi huwa shabiki wake, mafanikio haya ya Simba yanatokana na juhudi kubwa ya uwekezaji uliofanywa na rais wa heshima Ndg.Mohammed Dewji, si tu itatoa heshima kwa timu hiyo bali pia inaitangaza nchi yetu katika ramani la soka Kimataifa, hata hivyo Simba wasibweteke kwa kuwa mafanikio kama hayo wanayojivunia leo sio mapya kwa Yanga” “Mhe.Mwigulu Nchemba -Waziri wa Fedha.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania