#MICHEZO: Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba SC, Ahmed Ally amesema kikosi cha Simba kipo tayari kujiandaa katika michezo iliyobakia hususan mchezo wao na klabu ya Yanga, mchezo ambao umepangwa kuchezwa Juni 15, 2025.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania