#MICHEZO: Bw. Calvin Obedi, Mratibu Mwenza wa Mac D Bonanza 2025 & Fun Run, amewahimiza wale wote waliojiandikisha kushiriki mbio za afya (Fun Run) kufika katika maeneo walioainisha kuchukua vifaa vyao vya kukimbilia mbio hizo. Bw. Calvin pia ametaja vituo hivyo ambavyo ni Mac D Wines and Spirits, Kunduchi mkabala na Chuo cha Taifa cha Ulinzi – Tanzania, Kunduchi, Zak’s Bay, Boko, Eb25, Mbezi Makonde na Leather Men Sinza karibu na Kituo cha Polisi Mabatini.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania