#MICHEZO: Baada ya mapema hii leo Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara, kutangaza ratiba ya michezo ya kukamilisha msimu wa ligi hiyo wa 2024 – 25 ukiwemo mchezo namba 184 ulioahirishwa Machi 8, mwaka huu wa Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba, ambapo kwa sasa umepangwa kuchezwa Juni 15, mwaka huu, mashabiki wa timu hizo mkoani Tabora wametoa maoni mseto juu ya ratiba hiyo.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania