“Mheshimiwa Spika, wakati mwingine uchochezi wa adui huwa ni kwa lengo la kuzifikia rasilimali nyingi au za kipekee zinazopatika…

“Mheshimiwa Spika, wakati mwingine uchochezi wa adui huwa ni kwa lengo la kuzifikia rasilimali nyingi au za kipekee zinazopatika…

“Mheshimiwa Spika, wakati mwingine uchochezi wa adui huwa ni kwa lengo la kuzifikia rasilimali nyingi au za kipekee zinazopatikana katika Taifa husika, tunayo mifano yote ikiwemo ya mataifa yaliyokuwa na migogoro iliyochochewa na waliotamani kupora rasilimali hizo na pindi zilipoisha, migogoro nayo iliisha huku mataifa hayo
yakiachwa masikini, tumeshuhudia uchochezi katika mataifa mengine ukijipenyeza nyakati za uchaguzi kupitia wananchi kuchukiana wao kwa wao au wao na Serikali zao. Sote tuwe macho!!!” Mhe.Mwigulu Nchemba -Waziri wa Fedha.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow RadioOneStereo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *