“Mheshimiwa Spika, kwa mafanikio hayo, nina imani kuwa katika uchaguzi huu CCM haitapoteza JIMBO lolote wala KATA yoyote, tunaenda kushinda kwa kishindo kikubwa. Hakika yajayo yanafurahisha na Tanzania chini ya MAMA itapata mafanikio makubwa zaidi kupitia uchapaji kazi wake na dhamira thabiti ya kuwaletea watanzania maendeleo endelevu. KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE!!”Mhe.Mwigulu Nchemba -Waziri wa Fedha.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania