“…Mheshimiwa Naibu Spika nitumie fursa hii kuipongeza Klabu ya Simba kwa mafanikio makubwa waliyopata, kwa kufanikiwa katika hat…

“…Mheshimiwa Naibu Spika nitumie fursa hii kuipongeza Klabu ya Simba kwa mafanikio makubwa waliyopata, kwa kufanikiwa katika hatua ya Fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika, mafanikio haya sio tu yanatoa heshima kwa klabu hiyo bali yanaitangaza nchi yetu katika ramani ya Soka la kimataifa…” Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo – Palamagamba Kabudi.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *