Man Utd ‘wana wasiwasi sana, wanaogopa sana’ – Amorim

  Vita vya Urusi na Ukraine: Matukio matano muhimu ya faida na hasara kwa Putin 2024 Chanzo cha picha, Reuters Dakika 44 zilizopita Wakati 2024 inakaribia kutamatika, Rais wa Urusi Vladimir Putin alifanya mkutano kila mwisho wa mwaka huko Moscow. Mkutano huu wa wanahabari mara nyingi hujulikana kama “maonyesho ya utendaji ya kila mwaka ya Putin.” Hata hivyo, Putin anaweza kuwa amepuuza kwa makusudi baadhi ya matukio katika “onyesho la utendaji” la mwaka huu. Hapa, tunarejea nyuma katika matukio matano muhimu yaliyoshuhudiwa katika mwaka huu kwa upande wa Putin. Wakati wa hafla iliyoandaliwa mnamo Desemba 19, rais huyo wa Urusi alihutubia taifa juu ya maswala kadhaa, ikiwemo uchumi wa nchi hiyo, kushuka kwa viwango vya kuzaliana,Ujio wa Donald Trump na vita vya Israel-Gaza, lakini alitumia muda mwingi wa masaa manne na nusu akiangazia uvamizi unaoendelea Ukraine, vita ambavyo vinaingia katika mwaka wake wa tatu, na alitaka kuainisha juhudi za miezi 12 iliyo…