“Maliasili zetu, tuna madini, tuna mito, tuna ziwa, tuna Ardhi kubwa kuna namna ya kufanya hizi maliasili zimfaidishe huyu Mtanzania, au Taifa la Tanzania”David Zacharia Kafulila – Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP)
Kipindi cha Dakika 45 unaweza kukifuatilia Zaidi kwenye Youtube #ITVTANZANIA