Lissu kujitetea mwenyewe kwa mashtaka ya uhaini

16 Juni 2025

Tundu Antipas Lissu ameeleza kutoridhishwa na jinsi anavyotendewa na mamlaka za magereza. Kwa hiyo, Lissu ameamua kujiwakilisha mwenyewe kuanzia sasa. Wakili Fulgence Massawe, kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania, TLHRC, ametoa tathmini ya kisheria ya hatua aliochukuwa Lissu ya kuamua kujitetea mwenyewe na kuiweka kando timu ya mawakili wake zaidi ya Hamsini.

https://p.dw.com/p/4w0v0

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *