“…kutoza ushuru wa bidhaa kwa kiwango cha asilimia 5 kwenye aisikrimu (ice cream) zinazotengezwa nchini kwa kutumia kakao au mal…

“…kutoza ushuru wa bidhaa kwa kiwango cha asilimia 5 kwenye aisikrimu (ice cream) zinazotengezwa nchini kwa kutumia kakao au mal…

“…kutoza ushuru wa bidhaa kwa kiwango cha asilimia 5 kwenye aisikrimu (ice cream) zinazotengezwa nchini kwa kutumia kakao au malighafi nyingine, na asilimia 10 kwa zile zinazoingizwa kutoka nje ya nchi. Bidhaa hizo zinatambulika kwa HS Code 2105.00.00.
“Lengo la hatua hii ni kupunguza athari za kiafya zinazotokana na matumizi ya bidhaa hizi, kuongeza mapato ya Serikali, na kulinda wazalishaji wa ndani. Hatua hii inatarajia kuongeza mapato ya Serikali kwa kiasi cha shilingi milioni 119,465.5,”- Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri wa Fedha akiwasilisha hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali 2025-26 bungeni.

#Follow @radioonetanzania
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *