“Kupunguza kiwango cha ushuru wa bidhaa kwenye vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks) vinavyozalishwa ndani ya nchi kutoka shilingi 561 kwa kila lita hadi shilingi 134.2 kwa kila lita. Lengo la hatua hii ni kuweka unafuu kwa wazalishaji wa ndani, kuongeza 97 ushindani na kuchochea uwekezaji nchini. Hatua hii inatarajia kupunguza mapato ya Serikali kwa kiasi cha shilingi milioni 170.2,” Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri wa Fedha akiwasilisha hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali 2025-26 bungeni.
#Follow @radioonetanzania
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.