#KIPIMAJOTO: “Tukitaka bajeti iwe jumuishi ni lazima bajeti iwe ni bajeti ya maendeleo, iende kwenye projects au kwenye sekta ambazo zitagusa mtu mmoja mmoja, haswa tunaangalia afya, tunaangalia sekta ya elimu na sekta ya. maji…….” Willfred Kurwa – Mchambuzi/Mchumi TGNP