Jumapili hii, itafahamika ni Pyramids FC ama Mamelodi Sundowns nani kuwa bingwa wa Afrika msimu wa 2024/2025
Katika mechi ya kwanza iliyopigwa Afrika Kusini, timu hizi zilitoka sare ya 1 -1.
Mechi hii itachezwa kuanzia saa 2:00 usiku na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD.
Je, Pyramid kuchukua ubingwa huu kwa mara ya kwanza ama Mamelodi kubeba kwa mara ya pili?
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama mchezo huu.
#CAFCL #Azamtvsports #Pyramds #MamelodiSundownsFC