#HABARI:Wananchi wa Kijiji cha Nyaruyeye Kata ya Nyaruyeye mkoani Geita, wamegoma kuuzika mwili wa marehemu Kishiana Saidi, kwa siku tano mpaka sasa wakiishinikiza serikali kuwakamata na kuwafikisha Mahakamani walinzi na uongozi wa Mgodi wa Uchimbaji Dhahabu wa Katabaro, wanaodaiwa kuwashambulia kwa vipigo vijana wanne huku mmoja akifariki dunia, wakidaiwa kupita maeneo ya mgodi huo usiku wa manane wakati wakirejea nyumbani kwao.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania
Zaidi tumekuwekea kwenye Youtube #ITVTANZANIA