#HABARI:Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Irivingi Mutegeki Bagasheki aliyekuwa Meneja wa TRA Wilaya ya Kibondo na wenzake wat…

#HABARI:Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Irivingi Mutegeki Bagasheki aliyekuwa Meneja wa TRA Wilaya ya Kibondo na wenzake wat…

#HABARI:Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Irivingi Mutegeki Bagasheki aliyekuwa Meneja wa TRA Wilaya ya Kibondo na wenzake watano, wakituhumiwa kukutwa na meno mawili yanayodhaniwa kuwa ni ya tembo yenye thamani ya milioni hamsini na mbili, imeendelea kusikilizwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Kigoma.

Kesi hiyo itaendelea tena kusikilizwa kesho June 18, 2025.

#Follow @radioonetanzania

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *