#HABARI:Jeshi la polsi moani Geita limewakamata, kuwafungia leseni na kuwafikisha Mahakamani madereva 32 wakiwemo madereva wa se…

#HABARI:Jeshi la polsi moani Geita limewakamata, kuwafungia leseni na kuwafikisha Mahakamani madereva 32 wakiwemo madereva wa se…

#HABARI:Jeshi la polsi moani Geita limewakamata, kuwafungia leseni na kuwafikisha Mahakamani madereva 32 wakiwemo madereva wa serikali huku likiagiza askari wa usalama barabarani kwa Wilaya zote za mkoa huo, kuwakamata madereva wa serkali wanaovunja sheria za usalama barabarani kwa kuwa hakuna mtumishi wa umma aliyejuu ya sheria ili kuhakikisha wanadhibiti ajali za barabarani.

#Follow @radioonetanzania

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *