#HABARI: Zaidi ya wakazi 44,700 katika Kijiji cha Gidahababieg katika Kata ya Gidahababieg, wilayani Hanang, mkoani Manyara, wa…

#HABARI: Zaidi ya wakazi 44,700 katika Kijiji cha Gidahababieg katika Kata ya Gidahababieg, wilayani Hanang, mkoani Manyara, wa…

#HABARI: Zaidi ya wakazi 44,700 katika Kijiji cha Gidahababieg katika Kata ya Gidahababieg, wilayani Hanang, mkoani Manyara, wataondokana na shida ya maji kwa ajili ya matumizi ya binadamu, wanyama na kilimo cha umwagiliaji, mara baada ya Serikali kupitia Bodi ya Maji Bonde la Kati kutoa zaidi ya shilingi Bilioni 1.8 kwa ajili ya ukarabati wa bwawa katika kijiji hicho.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *