#HABARI: Zaidi ya abiria 650, waliokuwa wakisafiri kutoka mkoani Mbeya, kwenda jijini Dar es Salaam, kwa kutumia usafiri wa tren…

#HABARI: Zaidi ya abiria 650, waliokuwa wakisafiri kutoka mkoani Mbeya, kwenda jijini Dar es Salaam, kwa kutumia usafiri wa tren…

#HABARI: Zaidi ya abiria 650, waliokuwa wakisafiri kutoka mkoani Mbeya, kwenda jijini Dar es Salaam, kwa kutumia usafiri wa treni ya abiria ya Shirika la TAZARA, wamekwama kusafiri kwa saa 17, katika Stesheni ya TAZARA, mjini Makambako, mkoani Njombe, baada ya treni ya mizigo ya shirika hilo kupata ajali na kuziba njia kati ya Kijiji cha Mpanga na Ujindile, huko halmashauri ya Wilaya ya Mlimba mkoani Morogoro.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *