#HABARI: Waziri wa Viwanda na Biashara, Dokta Seleman Jafo, amesema dhamira ya Serikali kwa sasa ni kuvilinda viwanda vyote vya …

#HABARI: Waziri wa Viwanda na Biashara, Dokta Seleman Jafo, amesema dhamira ya Serikali kwa sasa ni kuvilinda viwanda vyote vya …

#HABARI: Waziri wa Viwanda na Biashara, Dokta Seleman Jafo, amesema dhamira ya Serikali kwa sasa ni kuvilinda viwanda vyote vya ndani kwa wivu mkubwa, ili kukuza pato la taifa na kutengeneza ajira nyingi kupitia viwanda hivyo kama ilivyo kwa kiwanda kipya cha kutengeza mabati ya rangi cha ALAF Tanzania badala ya kuagiza nje ya nchi.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *