#HABARI: Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Seleman Jafo ameonesha kutoridhishwa na hatua zinazochukuliwa na watendaji wanaotakiwa kutatua changamoto za wafanyabaishara wa Soko la Kariakoo baada ya kukuta bado kuna uwepo wa raia wa kigeni wakifanya biashara za wazawa, kutokuwa na vibali vya biashara, kutotumia mashine za EFD jambo ambalo linakosesha Serikali mapato na kuua uchumi wa wazawa.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania