#HABARI: Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry Silaa ameuagiza mfuko wa Mawasiliano kwa Wote UCSAF kupeleka wataalam wa TEHAMA kutoa mafunzo kwa waalimu wa shule za sekondari zilizofungiwa mifumo ya TEHAMA wilayani Kilolo mkoani Iringa ili kuwezesha waalimu hao kutoa mafunzo stahiki na kusaidia wanafunzi kujifunza kwa usahihi matumizi ya kompyuta.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania