#HABARI: Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba amesema katika mwaka wa fedha 2025/2026 moja ya vipaumbele ni kugharamia Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kwa fedha za ndani.
Amebainisha ya Bungeni jijini Dodoma wakati akiwasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2025/2026.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania