#HABARI: Waziri Mkuu Mhe

#HABARI: Waziri Mkuu Mhe

#HABARI: Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, amewasihi wananchi hasa vijana kuwa makini kutojihusisha na masuala yanayotokea sasa yenye viashiria vya kuharibu utulivu wa nchi na kujiuliza kwa nini mambo hayo yatokee wakati huu nchi inapoelekea kwenye uchaguzi mkuu wa 2025.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow RadioOneStereo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *